Nilicho gundua kwa muda sasa ni kwamba Wanao jiita wakristo wengi hawapendi kusoma Biblia badala yake tunapenda mizaha na dharau kwa maswala ya kiimani haswa wakrsito were not serious totaly someni biblia acheni utani na neno la Mungu kila siku soma mstari hata mmoja asante