2024-09-12 19:12
💥 "Sitoshangaa kuona Simba Sc akifungwa na Al Ahly Tripoli, na Simba Sc akifungwa na Al Ahly Tripoli kwangu mimi sio story kwasababu kwa nilichokiona na research niliyofanya kwa sasa Al Ahly Tripoli wanatimu mzuri kuliko Simba Sc" ANASEMA @hansrafael14
Sponsored by @collybae_cosmetics
USISAHAU KUTU FOLLOW @sportshq__tz KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO MASAA 24
@sportshq__tz
@sportshq__tz