2024-09-03 15:54
⭕... Serengeti Girls 🇹🇿 wameanza na mashindano kwa kumpasua Egypt 🇪🇬,
Tanzania 🇹🇿 wamealikwa kwenye michuano ya mataifa ukanda wa Kaskazini mwa Afrika kwa Wanawake U17 inayoendelea nchini Tunisia 🇹🇳,
Full-Time; Egypt 🇪🇬 1️⃣-4️⃣ 🇹🇿 Tanzania.
#QualityDaima