2024-09-07 18:14
⭕... 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘 ✅
Azam FC 🇹🇿 imemtambulisha Rachid Taoussi raia wa Morocco 🇲🇦, kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui,
#QualityDaima