2024-09-07 18:53
✍️Kumbe klabu ya Simba Sc ilipasuka kule Bunju,kwa mujibu wa klabu ya Jkt Tanzania kupitia mitandao yao ya kijamii wanasema Simba Sc alipasuka ila wao hawapendi sifa baada ya Simba Sc kuwafunga leo😂😂😂
Sponsored by @collybae_cosmetics
USISAHAU KUTU FOLLOW @sportshq__tz KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO MASAA 24
@sportshq__tz
@sportshq__tz