2024-09-09 10:01
Nimerejea Zanzibar baada ya kumaliza ziara nchini Indonesia na kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Siku ya Ushindi nchini Msumbiji.
Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, nilipata fursa ya kuzungumza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari na kuelezea mafanikio ya ziara hiyo.
📅 8 Septemba 2024
📍Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.