2024-09-09 10:44
Matukio katika picha wakati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akifungua Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki leo Septemba 09, 2024 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC Jijini Arusha kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.