2024-09-09 18:21
⭕... Uganda 🇺🇬 wameibuka na ushindi kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco 🇲🇦 dhidi ya Congo Brazzaville 🇨🇬, Huku Burundi 🇧🇮 akipiteza nyumbani dhidi ya Senegal.
Full-Time; Uganda 🇺🇬 2️⃣-0️⃣ Congo Brazzaville 🇨🇬
Burundi 🇧🇮 0️⃣-1️⃣ Senegal 🇸🇳
#QualityDaima