2024-09-10 07:09
Ofa ofa ofa !
Haya wenye ndoto za kumiliki quadbikes
Kwajili ya kupanda milima, kuendea beach, kufanya biashara, au kukodisha
Ziko sita CC 150
Moja inauzwa 1.2m tu !
Pisi mbili na kuendelea ni 1m tu ! !
Makadirio ya usafirishaji na kodi tsh 1m tu
Jamaa kanitumia saa hizi huku, aseeeeeee !
Naogopa Zitanunuliwa na wachina huku huku
Mimi nazitaka lakini nimetoka japan nimefulia