2024-09-10 19:36
Kikosi cha wachezaji 22 ambacho kitaondoka kesho alfajiri kwenda nchini Libya kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Yusuph kagoma amenumuishwa pia .
Lakini chakushangaza ni kipaji kikubwa cha kijana Ladack chasambi kutokujumuishwa kwenye kikosi hicho cha simba,
Maswali; je Chasambi ana majeraha? Au hayupo fiti asilimia 100 kucheza? Au kocha hajalizishwa na kipaji chake ?
#zinzaTv