2024-09-10 18:40
Msaidieni mwenzenu... Summary, anasema hivi yeye anamsomesaha mdogo wao wa kike sasa aliamua kunununulia pikipiki na kumpa kaka yake ili siku atakapokuwa hana kitu pikipiki isaidie kumsomesha mdogo wao, makubaliano yalikuwa hivi kila siku kaka yake awe anarejesha Elfu 5...sasa alianza kurejesha siku chache cha mwanzo lakini kwa sasa kaka amekataa kabisa kurejesha kiasi chochote sasa anauliza amfanye nini kaka yake, je aende polisi...!?