2024-09-11 09:19
@babutale mkuu wangu hongera kwa ulichokiona natumai unaona mengi sana. Na jengine hili hapa ni la kitaifa endapo tutalitilia nguvu viongozi wetu kama nyinyi mnaowakilisha wananchi wasiokuwa na sauti kubwa za kufikisha ujumbe.naomba dkk1 yako uipitie tu hii account ya IG @hassan.guten itakupa maudhui halisi ambayo yatatangazwa rasmi hivi karibuni ndani ya program ya meetThegreat . Nakushukuru sana kwa mda wako. Majukumu mema mkuu.