2023-07-21 09:58
Kolabo nyingine ya Harmonize inatarajiwa kuachiwa siku 14 zijazo. Ambapo amewashirikisha vocalist Bien-Aimé Baraza (@bienaimesol) na rapper wa Marekani Bobby Shmurda. Baada ya 'Miss Bantu' na Spice iliyotoka leo.
Tangu Mbongo Fleva, @harmonize_tz adokeze ujio huo siku tatu zilizopita, Ackquille Jean Pollard 'Bobby' amekuwa na shauku kubwa sana kuhusu ujio huo kwa ku-share moments tofauti akisikiliza sehemu aliyohusika kwenye 'I Made It'.