2023-07-27 04:36
Muda wa kuyajenga umefika⏱️
Ijumaa hii tunakiwasha Instagram tukiwa na Mr. Ambassador Rayvanny ambaye atatusanua michongo kibao ya features mpya ndani ya SimBanking App 📲 bila kusahau mizawadi kibao inayokusubiri. Anza kula desa la SimBanking App mapema kwasababu maswali yanakuhusu.
📅 Ijumaa, Julai 28
⏱️ Kuanzia Saa 11 Jioni
#benkinisimbanking
#tunakusikiliza