2023-08-11 12:48
Unataka kujifunza Graphics design ila hujui pa kuanzia??
Anzia Youtube since kuna madini mengi utapata mwanga na mwanzo mzuri wa safari yako. Tafuta zile tutorials zenye saa 1+ achana na videos fupi fupi.
Kukurahisishia mchakato anza na hii channel👇👇
https://youtube.com/@BringYourOwnLaptop