TIMU PEKEE YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ILIYOTINGA MAKUNDI YA SHIRIKISHO MSIMU HUU ||
Simba kwenye Shirikisho inaenda kupeperusha Bendera ya Afrika mashariki na kati pia [CECAFA] Kwa msimu huu.
AUTOMATIC INAINGIA KATIKA POT A YANI KAMA MOJA YA GIANTS WA MSIMU HUU SHIRIKISHO.
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli.