2024-09-23 19:15
Ninakushukuru Mungu mwema na Mtakatifu kwa ajili ya neema ya uzima uliotujalia hata kufika usiku wa leo. Asante kwa kutuepusha na mabaya yote na kutujalia kuwa salama tangu asubuhi mpaka usiku wa leo. Tunakutukushukuru na kuliinua juu sana jina lako lenye nguvu zote Ee Mungu wa majeshi yote. Utukufu una wewe tangu sasa na siku zote na milele. 🙏🏽🕊️