2024-09-26 20:43
Goli la kwanza pia nalo ni Offside, angalia ATEBA alikuwa wapi wakati JEAN CHARLES AHOUA anatoa pasi kuelekea kwake!, alikuwa naye amezidi tayari. Waamuzi wetu Kwa kweli bado mnapelekea kupoteza ladha ya mpira wa miguu nchini.
回覆
轉發

作者


jamessheka78
粉絲
串文
4+

回覆

轉發

24小時粉絲增長

無資料

互動率

(讚 + 回覆 + 轉發) / 粉絲數
NaN%

回覆 (BETA)

最先回覆的內容
發文後用戶內容
21 小時內
kijana2050__
Sawa 🤣🤣

© 2025 Threadser.net. 版權所有。

Threadser.net 與 Meta Platforms, Inc. 無關,未經其認可、贊助或特別批准。

Threadser.net 也不與 Meta 的"Threads" 產品存在任何關聯。