Huu ni ukatili kama ulivyo ukatili mwingine
Madhehebu yote tupinge hii kwa sauti moja huyu padri hajafanya fea kabisa just imagine anafanya hivi madhabahuni je ni mangapi anafanya mabaya binafsi mimi sijapenda hiyo tabia kabisa ya kupiga wanafunzi makwenzi madhabahuni kitendo cha kinyama na cha kikatili kabisa jamani hii vipi baba huyu wa hovyo kabisa