Kiuhalisia maisha halisi ya dini Uislam yanatufundisha kuwa MKE lazima afanyiwe yafuatayo.
1.Aelimishwe na kukumbushwa kuhusu kumcha Mola wake (kufanya ibada) 2. Apendwe 3.Atunzwe 4.Athaminiwe 5.Aenziwe 6.Aonewe huruma 7.Afanyiwe ihsan 8.Asifiwe 9.Atononoshwe 10.Apewe haki ya tendo la ndoa kisawasawa.
Chukua hii itakusaidia kujua umahiri wa kile ukifanyacho kwa mkeo wa halali.
Ipi kwako imekugusa zaidi ama hujaelewa vizuri au ipi imekuvutia?