2024-11-02 08:40
Maisha ni fumbo' kubwa sana, Tunamshukuru Mungu Kwa maisha Yako Grace mapunda kwa sababu kuna kitu umefanya katika mumaisha yetu , Sisi tunakuombea upumzike kwa Amani pia Mungu aendelee kuipa faraja familia yako, Hakika maisha ni fumbo' 🙁🙁🙁