2024-10-13 12:10
YUSUPH Kagoma kiungo wa Simba amesema kuwa yeye huwa hachezi rafu akiwa uwanjani zaidi anacheza mpira kwa kuwa ni kitu ambacho anakipenda.
Nyota huyo amebainisha kuwa kwa namna ambavyo anacheza wengi wamekuwa wakimtaja kuwa ni mchezaji wa rafu jambo ambalo huwa halifanyi.
“Unasema kwamba mimi huwa nacheza rafu? Hapana mimi sichezi rafu ninacheza mpira na ninapenda kufanya hivyo kwa kuwa ni kazi yangu.”
#zinzaTv
#zinzaUpdates