2024-10-20 07:43
Wakati Mabeki wote wa Simba wanahamaki alikuwa SHOMARI SALUM KAPOMBE kwa uzoefu wake mkubwa alijua nini cha kufanya, aliusweep vyema ule mpira kwa uhakika kabisa huu mpira na ulikuwa unaenda nje, ila sasa Kijili ndio akaenda kujiweka.
Niliwahi kusema na nitaendelea kusema ni juzi tu nilipost kuwa SHOMARI KAPOMBE na ZIMBWE mbadala wao kwa klabu na Timu ya Taifa bado bado hakuna, quality yao ni ya juu mno mno mno! Basi tu Wabongo tunapenda kujizima data.
.
Written by @jr_farhanjr