2024-10-22 09:02
MNAMUONA DIARRA ALIPOKUWA KIPINDI FAULO YA GOLI INAPIGWA?
Yanga tuna WACHEZAJI wenye uchu ya ushindi na wako very commitment linapokuja SUALA la ushindi wa team so tusifananishwe na wavulana wenu hao!
Hawachelewi kuiga then wanaambulia kuokota munyavu TWO COMEBACK GOALS!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣