2024-11-26 11:10
.
" Nipeni wachezaji wangu wote halafu mtaona . Ni ngumu sana pale unapotakiwa kucheza bila mabeki wako wanne wa kati , viungo wawili wa kati , mchezaji bora Duniani Rodri hapatikani, mawinga watatu hawapatikani , nipeni wachezaji wangu ... mtaiona Man City"
Pep Guardiola
Source : @fabriziorom
Kwahiyo .... au basi , nisije kuonekana nina nongwa 😀
@betwaytanzania_
@nusubeiistore