2024-11-06 03:48
Kweli today was a hard.day usingizi ,uchovu. Ujinga mwingi 🤣🤣🤣🤣
Yaani. Chuma kimetuweka macho. Mpaka saa nane tunapakua ma.MB nyie nyie watu tunapenda upuuzi 🤣🤣🤣
Ila chuma hana baya. Siyo mchoyo kabisaaa. Anagawa mpaka outdoor 🤣🤣🤣🤣
Ila kwa analysis niliyofanya nadhani wanawake wengi walikuwa wanatoka na mikopo. Sema walikuwa wanafurahia tuu msumeno haukuwa butu 😂😂😂 umenolewa haswaa. Unakata nyama kama mashine
Ok bye. Upuuzi mwingi 😂😂😂😂