2024-11-22 05:28
Be kind huwezi kujua mwenzako anapitia kitu gani , kila mtu ana yake ya moyoni ambayo huwezi kuyaona
Leo mpigie simu mzazi wako , mpenzi wako , rafiki yako. , ndugu yako. Mtu wako wa karibu mjulie tuu hali. Mwambie tuu nilitaka kukujulia hali . Hiyo ni faraja kubwa sana. Mtu kukujulia hali. Na kama upo nae karibu mpe a big hug mwambie nakutakia siku njema
Love you all
Jumaaa karim