2024-11-22 09:04
🚨FADLU DAVIDS
Takwimu bora kutoka kwa kocha wa simba FADLU DAVIDS Tangu ajiunge na simba mwaka huu 2024 katika michezo kumi ushindi 8 sare 1 kupoteza 1
Simba katika nyakati nzuri kurejea kwenye ubora wake je watarejesha heshima walioitengeneza kwa kuchukua ubingwa mara tatu mfulukulizo?
Follow @usajiliwetu