2024-11-24 07:24
Sahii kuna Dem mahali ama kuna mtu hii Nairobi ame save 20k za December kuenda kutesa nayo mtaa kweli kweli.
Na Ushagoo mzazi wake anakalia kiti kama hiki kwenye nyumba.
SHAME ON YOU. 😢😢
CHAPA LUK LAKIN UKUMBE UNAENDA KUKAA WAPI OR KULALA WAPI HUKO USHAGOO🤔. Tupeni mawe ingije I'm ready 🤣🤣🤣