2024-12-23 13:49
Kocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amethibitisha kwamba winga wake Bukayo Saka atakuwa nje ya dimba kwa wiki nyingi baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Crystal Palace
" Inaonekana jeraha baya , atakuwa nje kwa wiki nyingi . Ni pigo kubwa sana , itakuwa changamoto kubwa kwetu kukabiliana nayo "
Source : @fabriziorom @skysports
Ule upande wa kulia :-
1: Gaby Martinelli
2: Gaby Jesus
3: Raheem Sterling
4: Ethan Nwaneri
Eti ? 🤔
@betwaytanzania_
@nusubeiistore