2024-12-25 16:49
Aaubuhi nilizungumzia waamuzi kukosea na kuwapa Yanga vao la mkono.....jioni hii ni penalti YA UONGO....
Hii imenikumbusha ile penalti alitoa mwanamama wa Dodoma nje ya boksi, Yanga ikishinda kwa ile penalti ambayo madhambi yalikuwa nje na si ndani.
Leo Dube kaanguka nwenyewe na imekuwa penalti
Swali la MJADALA WA BAHATI MBAYA NA WAAMUZI, kihaki ni DHULMA KWA TIMU NDOGO...
1. Kwanini waamuzi hawaoni?
2. Ni Kampeni?
3. Uamuzi bila hofu?
4. Why mfululizo?
5. MIPANGO YA MUNGU?
MWISHO WAKE....