2024-12-26 03:45
Tayari mezani kwa Yanga kuna OFFA nzuri kabisaa toka kwa Wydad Casablanca wakimuitaji Azizi Ki ambaye ameonekana kuanza kuimarika baada ya kiwango chake kudolola Siku za hivi karibuni...
Sasa Rais wa Yanga Eng. Hersi ni yeye sasa ambaye mpaka sasa anatakiwa kukubali au kukataa..