Threadser.net
數據
關鍵字
功能建議
Following
Threads
Login
串文
串文鏈結
2024-12-26 13:33
Nimeona hii inatembea sana, najua wengi walitarajia kuona Maxime akilalamikia penalti kuwa HAIKUWA HALALI. Inawezekana alipitiwa au amezungumzia general comments ya kikosi chake na makosa.... So wala SI JAMBO BAYA.... #iamsalehjembe🇹🇿
讚
75
回覆
14
轉發
8
作者
Saleh Jembe
salehjembefacts
粉絲
串文
151+
讚
回覆
轉發
24小時粉絲增長
無資料
互動率
(讚 + 回覆 + 轉發) / 粉絲數
Infinity%
回覆 (BETA)
最先回覆的內容
發文後
用戶
內容
3 小時內
Norbat
einhardn9
Huyo ni UTO UNADHANI ATASEMAJE
17 小時內
Thomas Josephat
thomas.josephat.714
Hakuna kitu hapa mechi za mipango mipango zile ,hakukuwa na mechi pale Bali kiini macho
18 小時內
Mudy H. Bigawa
mudyh.bigawa
Sasa timu imefungwa goli zaidi ya moja utalalamika nini ila hata sisi Watanzania tuna matatizo yetu ya asili 🤣🤣🤣
19 小時內
albert Mgulunde
albertking_jr
Ila ukiwa kolo shida sana 😂😂😂 ulalamike goli mbili katika goli nne zitakusaidia nn?
一天內
Emmanuel Nyove
2518.emmanuel
Huyu hakuna coach hapo kelele nyingi kisa kala mpunga wa yangu unauza time kisa vihela vya kijinga jaman ma coaches hatari sana hiki ndio kulimtoa coach msaidizi wa simba Suleman matola lipuli akaka sawa simba hiyu vilevile simba haiwezi kukupa hata mia