Klabu ya Wydad Casablanca wametuma ofa kwa Yanga wakiitaji huduma ya Clement Mzize na wamemuwekea ofa Nono sana pamoja na mshahara mara tatu ya ule anaolipwa na yanga lakini za chini ya kapeti ambazo ninazo yanga wanambania jamaa kwenda Wydad kitu ambacho sio kizuri hata kidogo.