2024-12-31 08:21
Ofisa wa Bodi ya Ligi kuu ya NBC, Karim Boimanda amethibitisha kupokea barua kutoka kwa Simba SC juu ya kutaka kuhama uwanja wa KMC Complex na kwenda uwanja wa Azam Complex . Simba Sc wametuma barua ya kuhama Uwanja wa KMC Complex ili kuweza kuhamia uwanja wa Azam Complex. #NestoShayoUPDATES
140
回覆
36
轉發
4

回覆

轉發

24小時粉絲增長

無資料

互動率

(讚 + 回覆 + 轉發) / 粉絲數
Infinity%

© 2025 Threadser.net. 版權所有。

Threadser.net 與 Meta Platforms, Inc. 無關,未經其認可、贊助或特別批准。

Threadser.net 也不與 Meta 的"Threads" 產品存在任何關聯。