2024-12-31 18:31
✅️DEAL DONE
Namungo Wamekamilisha usajili wa winga wa Simba Karabaka kwa mkopo wa miezi sita.
Karabaka aliomba kuondoka Simba kwenye dirisha hili dogo ili apate nafasi ya kucheza.
KMC walikuwa wa kwanza kufungua mazungumzo na Simba ila badae Namungo waliingilia kati dili hilo huku Kocha Juma Mgunda akitumia ushawishi wake na dili hilo limefanikiwa.
Namungo wamekubali kulipa mshahara wote wa mchezaji huyo kwa kipindi hicho cha miezi sita ya mkopo.
Follow @usajiliwetu