2025-01-02 07:02
Dear God☎️, ni mimi tena. Sijaja na maombi mengi, bali shukrani kwa yote uliyonitendea. Simu yangu ya imani imejaa Shukrani. Asante kwakuwa mstari wa maombi haujawahi kukatika.
"Call unto me, and I will answer thee, and shew the great and mighty things, which thou knowest not" Jeremiah 33:3 ~KJV ❤️