Za chini ya kapeti nilizonazo Simba wanajadiliana kuweka zaidi ya shilingi billion Moja ili kupata Saini ya Feisal kutoka Azam fc na naambiwa hapa Kila kitu kinaenda vizuri mpaka sasa.... Sema Simba wapo serious sana hawataki utani Kuna timu zitawakimbia Simba uwanjani msimu huu