2025-01-19 06:36
Ushamba mwingine huu, hata dereva wa mchezaji anajiona ANAJUA kila kitu, eti mchezaji asirekodiwe wakati hapo ni uwanjani, public area....
Ujuaji huu umetoka kwa MAKOMA-NDOO sasa hadi kwa madereva, UPUUZI WA KIWANGO CHA JUU...
ACHENI WAANDISHI WAFANYE KAZI YAO....
#iamsalehjembe🇹🇿