2025-01-19 07:47
Tukiachana na mambo yote, naweza kutoeleweka ila naomba mnielewe hivyo hivyo yani jana Refa Patrice Milazar kutoka Mauritania kachezesha mechi ya Yanga dhidi ya MC Algiers kama vile Yanga wapo ugenini, yaani Yanga kapitia makali hapo hapo kwa Mkapa, imenishangaza sana.
Naweza nisieleweke ila nadhani nimeeleweka, sijui nimeeleweka?__