2025-01-19 05:28
“Lazima tuwe wakweli ukali wa mechi za Ligi ya Tanzania sio kama zile dhidi ya timu za Algeria, Afrika Kusini, Morocco, Tunisia hawa Ligi zao ni kali sana, tunahitaji ukali kama wa Ligi hizo ili tushindane”
- Saed Ramovic, Kocha wa Yanga.