2025-01-09 03:56
hatua ya Ladack Chasambi, mchezaji kijana wa Simba SC, kumpendekeza Max Mpiya Nzengeli wa Yanga SC kama rol model wake inaweza kuangaliwa kwa mitazamo tofauti.
Mitazamo chanya:
Kwanza, hii inaonyesha kiwango cha juu cha ukomavu wa kiakili na michezo kutoka kwa Chasambi. Katika soka, tunasisitiza umuhimu wa kuheshimu na kujifunza kutoka kwa wachezaji waliofanikiwa.
Siku hizi apewi nafasi tena toka alizungumzie ilo.