2025-01-13 12:40
Ellie Mpanzu anapaswa kuwa OBJECTIVE kwasasa mpira wa anakwenda anakwenda sio muda wake, nilimuelewa sana Mwalimu jana kwanini alimchomoa, lazima awe Mchezaji wa timu naona pia bado hajatulia, nadhani presha ya matarajio inamchukua sana, hapaswi kuwaza presha, hapaswi kuwahisha kuonekana anajua, yeye acheze mpira, awe Mchezaji wa timu zaidi, hadi sasa bado sijaona hatari yake binafsi.