2025-01-13 18:41
Twende Kazi! 💪🏽 #2025, natafuta wajasiriamali wa kuwawezesha nchini #Tanzania.
Ni sehemu gani katika biashara yako ungependa kuwa na rasilimali zaidi au msaada ili iweze kukua? Je, biashara yako iko tayari kufaidika na msaada na uwekezaji ili kukua?
Taja mafanikio uliyopata hadi sasa na hatua zilizochukuliwa kufikia malengo yako.
#OneMinutewithMo