2025-02-08 16:43
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe. Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi katika Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC), Februari 8, 2025.
#KitengeUpdates