2025-01-22 07:50
Kongole @azamfcofficial kwa jitihada hizi za kuunga mkono uendelezaji wa Wanamichezo wetu.
Kila timu ya Ligi Kuu ikitekeleza mpango kama huu, tutapata matokeo makubwa ya kukuza na kuendeleza Wanamichezo wetu na kupanua zaidi fursa kwa vijana kupitia michezo.