2025-01-25 07:21
YANGA bado sijawaelewa kabisa yani.
Hivi kwanini YANGA walimsajili CHAMA aliyekuwa kikosi cha kwanza cha SIMBA halafu kwao hawampi game time ya kutosha kuwasaidia.
Je,
1). Hakuwa chaguo la makocha.
2). Uwezo umeshuka.
3). Alisajiliwa kibiashara
4). Alisajiliwa kukomoana.
Najiuliza ila sipati majibu, labda ndungu zangu mnisaidie.
:
:
:
✍️ genfumbwe_