2025-01-25 10:26
Naam! Unaambiwa Kilimanjaro Wonders ambao ni wapinzani wa @simbasctanzania kwenye michuano ya kombe la FA , raundi ya tatu. Wametokea nchini Ujerumani kwa ajili ya kujifua hivyo wanao uziefu wa kutumia viwanja vyenye ''pitch" nzuri kama iliyopo KMC Complex.
Unadhani wataweza kuishangaza Simba Sc?!
Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi 🗣️📢
.
Follow: @musamkwaju
.
.
#tanzania #NguvuMoja #daimambelenyumamwiko #ligikuu #soka