2025-01-27 08:14
JINA: Kassim Rajani "Kass"
UMRI: Miaka 22
URAIA: Canada🇨🇦 (Ana asili ya Tanzania pia 🇹🇿)
NAFASI: Kiungo Mshambuliaji / Mshambuliaji
TIMU: Huntingdon Town FC (ENGLAND)
NB: MCHEZAJI KUTOKA ENGLAND, ANAELEZWA KUWEPO SIMBA SC KWA MAJARIBIO!
Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi 🗣️ 📢
.
Follow: @musamkwaju
.
.
#daimambelenyumamwiko #tanfootball #nguvumoja #ligikuutanzaniabara