2025-01-27 12:21
SIMBA MMEONA MLETE STREKA LA UBAYA UBWELA KIMYA KIMYA .
ANAITWA KASSIM RAJAN NAAMBIWA HUKO UWANJA WA MAZOEZI MAKIPA WANATESEKA KWA MASHUTI YAKE YA MOTO.
HUYU MWAMBA KAZALIWA CANADA ILA TANZANIA 🇹🇿 NI NYUMBANI PIA AKIFANYA VEMA KWA UMRI WAKE WA MIAKA 22 FADLU DAVIDS ATAMPA NAFASI YA KUCHANA NYAVU ZA WAPINZANI MSIMU UJAO.
RAJAN ALIKUWA SEHEMU YA KIKOSI CHA SIMBA AMBACHO KILITINGA KMC COMPLEX HAPO JANA .
😁NB Vijana muelewe huyu siyo mchezaji wa kigeni huyu ni familia .
#Sozymediaupdates